Acts 27:30

30 aKatika jaribio la kutoroka kutoka kwenye meli, mabaharia wakashusha mashua ya kuokolea watu baharini, wakijifanya kwamba wanakwenda kushusha nanga za omo.
Omo hapa maana yake ni sehemu ya mbele ya meli, yaani gubeti.
Copyright information for SwhKC